Jinsi ya Kutazama AzamTV Max App Bila Kisimbuzi cha AzamTV

Jinsi ya Kutazama AzamTV Max App Bila Kisimbuzi cha AzamTV | Je, unajua kuwa unaweza kufurahia burudani na huduma za AzamTV hata bila kumiliki kisimbuzi cha AzamTV? Kwa kutumia App ya AzamTV Max, unaweza kutazama vipindi vyako pendwa moja kwa moja kupitia simu janja au kifaa kingine cha kidigitali.

Jinsi ya Kutazama AzamTV Max App Bila Kisimbuzi cha AzamTV

Jinsi ya Kupakua na Kutumia AzamTV Max

Ili kuanza kutumia huduma hii, fuata hatua rahisi zifuatazo:

  1. Pakua App – Tembelea Play Store au Apple Store na pakua App ya AzamTV Max.
  2. Jisajili – Jaza taarifa zako muhimu ili kufungua akaunti yako.
  3. Chagua Huduma – Endelea kama mteja asiyetumia kadi na chagua kifurushi kinachokufaa.

Vifurushi vya AzamTV Max

AzamTV Max inatoa vifurushi mbalimbali vinavyokidhi mahitaji tofauti ya watazamaji:

Jinsi ya Kutazama AzamTV Max App Bila Kisimbuzi cha AzamTV
Jinsi ya Kutazama AzamTV Max App Bila Kisimbuzi cha AzamTV

Gold – TZS 25,000 kwa mwezi
Silver – TZS 23,000 kwa mwezi
Bronze – TZS 16,000 kwa mwezi
Silver (Wiki) – TZS 11,000 kwa wiki
Bronze (Wiki) – TZS 5,000 kwa wiki

Kwa kutumia App ya AzamTV Max, unaweza kutazama chaneli mbalimbali moja kwa moja bila kuwa na kisimbuzi. Furahia vipindi vya burudani, michezo, habari na zaidi, popote ulipo!

CHECK ALSO: