Morocco Yaifunga Tanzania 2-0 Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia

Morocco Yaifunga Tanzania 2-0 Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia | Taifa Stars Yapoteza Dhidi ya Morocco, Morocco Yafuzu Kombe la Dunia 2026.

Morocco Yaifunga Tanzania 2-0 Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia

Taifa Stars yapoteza kwa Morocco na kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ilifungwa mabao 2-0 na Morocco katika mchezo wao wa kufuzu Kombe la Dunia 2026.

Morocco Yaifunga Tanzania 2-0 Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia
Morocco Yaifunga Tanzania 2-0 Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia

Matokeo haya yanaifanya Tanzania kufikisha pointi sita sawa na Niger katika Kundi E. Kwa upande wa Morocco, ushindi huu unaiwezesha kufuzu rasmi Kombe la Dunia 2026, na kufikisha pointi 15, idadi ambayo Taifa Stars na Niger haiwezi kufikiwa.

Licha ya kipigo hicho, Taifa Stars bado ina nafasi ya kupambana katika mechi zijazo ili kujaribu kufuzu kutokana na kujiweka sawa kwa timu inayoshika nafasi ya pili kwenye makundi ya Afrika. Mashabiki wa soka nchini wanatumai timu hiyo itarekebisha makosa yake na kuonyesha ufanisi zaidi katika mechi zijazo.

CHECK ALSO: