Ajira za leo Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto 2025: Jeshi la polisi kupitia sekrati ya uokoaji na usalama Tanzania leo imetoa majina na Tangazo la vijana kuitwa kwenye usaili wa uandikishaji wa ajira za vijana jeshi la usalama na uokoaji la zimamoto Tanzania.
Kwenye barua iliyotolewa imetoa maelekezo kwa vijana wote waliomba ajira kwenye jeshi la zimamoto kuitwa kwenye usajili utakaofanyika kuazia tarehe 05 April mpaka tarehe 17 Aprili ya 2025.
Katika barua hiyo imeelekeza vijana hao kufika mapema kwenye vituo walivyopangiwa kufanya usaili kuazia saa 1:00 asubui kwa kila kundi.
Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto 2025
ORODHA-YA-USAILI-TAALUMA-MBALIMBALI
CHECK ALSO:
Weka maoni yako