Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League

Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League: Kufuatia mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC na Simba SC Septemba 16, 2025, msimu mpya wa 2025/2026 wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara NBC utaanza rasmi Septemba 17, 2025. Mechi za ufunguzi zitachezwa katika viwanja mbalimbali nchini, ambapo timu mpya na zenye uzoefu zitamenyana kwa mara ya kwanza msimu huu.

Mashabiki wa soka nchini wanatarajiwa kumiminika viwanjani kufurahia tamasha la soka, huku Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 ikiahidi kuwa na ushindani mkubwa zaidi.

Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League

Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League
Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League

Jumamosi, Oktoba 25, 2025

  • 🕑 Saa 8:00 mchana: Mashujaa FC 🆚 Namungo FC

  • 🕓 Saa 10:15 jioni: Fountain Gate 🆚 KMC FC

  • 🕖 Saa 1:00 usiku: Dodoma Jiji 🆚 Pamba Jiji

Jumatano, Oktoba 29, 2025

  • 🕖 Saa 1:00 usiku: Young Africans 🆚 Mtibwa Sugar

Alhamisi, Oktoba 30, 2025

  • 🕓 Saa 10:00 jioni: TRA United 🆚 Simba SC

  • 🕖 Saa 1:00 usiku: Azam FC 🆚 Singida BS

Jumamosi, Novemba 1, 2025

  • 🕓 Saa 10:00 jioni: Tanzania Prisons 🆚 Young Africans

Jumapili, Novemba 2, 2025

  • 🕓 Saa 10:00 jioni: Simba SC 🆚 Azam FC

Jumatatu, Novemba 3, 2025

  • 🕓 Saa 10:00 jioni: Singida BS 🆚 TRA United

Jumanne, Novemba 4, 2025

  • 🕓 Saa 10:00 jioni: Young Africans 🆚 KMC FC

ANGALIA HAPA RATIBA YA LIGI KUU NBC 25/26

CHECK ALSO: