Ratiba ya Mechi za NBC Premier League Leo Alhamis

Ratiba ya Mechi za NBC Premier League Leo Alhamis: Leo Alhamis, ligi kuu ya NBC Premier League inaendelea kwa michezo mitatu muhimu katika viwanja tofauti nchini.

Ratiba ya Mechi za NBC Premier League Leo Alhamis

Ratiba ya Mechi za NBC Premier League Leo Alhamis

Saa 10:00 Jioni

🏟 JKT Tanzania 🆚 Dodoma Jiji
📍 Uwanja: Meja Jenerali Isamuhyo
📺 Live: Azam Sports 2 HD

🏟 KenGold 🆚 Azam FC
📍 Uwanja: Sokoine
📺 Live: Azam Sports 1 HD

Saa 1:00 Usiku

🏟 Kagera Sugar 🆚 Coastal Union
📍 Uwanja: Kaitaba
📺 Live: Azam Sports 1 HD

Mashabiki wa soka wanatarajia ushindani mkali katika mechi hizi, huku kila timu ikitaka kupata pointi muhimu kwenye msimamo. Usikose NBC Premier League kwa matokeo na hatua zote za moja kwa moja.

CHECK ALSO: