Orodha Ya Tahasusi Za Kidato Cha Tano

Tahasusi Za Kidato Cha Tano | Michepuo ya Masomo Kidato Cha Tano

Wakati mwanafunzi anapomaliza Kidato cha Nne na kutaka kujiunga na elimu ya A-level, kuchagua tahasusi (mchepuo wa masomo) kwa Kidato cha Tano ni hatua muhimu sana. Uchaguzi wa tahasusi sahihi unaweza kufungua njia za mafanikio ya baadaye katika taaluma na kazi. Katika makala hii, tumekuletea orodha ya tahasusi mbalimbali zinazopatikana kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano.

Orodha Ya Tahasusi Za Kidato Cha Tano

A: TAHASUSI ZA SAYANSI YA JAMII

  1. History, Geography and Kiswahili (HGK)
  2. History, Geography and English Language (HGL)
  3. History, Geography and French (HGF)
  4. History, Kiswahili and English Language (HKL)
  5. History, Geography and Arabic (HGAr)
  6. History, Geography and Chinese (HGCh)
  7. History, Geography and Economics (HGE)
  8. History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa)
  9. History, Geography and Literature in English (HGLi)

B: TAHASUSI ZA LUGHA

  1. Kiswahili, English Language and French (KLF)
  2. Kiswahili, English Language and Arabic (KLAr)
  3. Kiswahili, English Language and Chinese (KLCh)
  4. Kiswahili, Arabic and Chinese (KArCh)
  5. Kiswahili, Arabic and French (KArF)
  6. English Language, French and Arabic (LFAr)
  7. English Language, French and Chinese (LFCh)
  8. French, Arabic and Chinese (FArCh)
  9. History, English Language and French (HLF)
  10. History, English Language and Arabic (HLAr)
  11. History, English Language and Chinese (HLCh)

C: TAHASUSI ZA MASOMO YA BIASHARA

  1. Economics, Business Studies and Accountancy (EBuAc)
  2. Economics, Geography and Mathematics (EGM)
  3. Economics, Commerce and Accountancy (ECAc)
  4. Economics, Computer Science and Mathematics (ECsM)
  5. Business Studies, Accountancy and Computer Science (BuAcCs)
  6. Business Studies, Accountancy and Mathematics (BuAcM)
  7. Economics, Business Studies and Islamic Knowledge (EBuI)

D: TAHASUSI ZA SAYANSI

  1. Physics, Chemistry and Mathematics (PCM)
  2. Physics, Chemistry and Biology (PCB)
  3. Physics, Geography and Mathematics (PGM)
  4. Chemistry, Biology and Geography (CBG)
  5. Physics, Mathematics and Computer Science (PMCs)
  6. Chemistry, Biology and Agriculture (CBA)
  7. Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition (CBN)

E: TAHASUSI ZA MICHEZO

  1. Biology, Food and Human Nutrition and Sports (BNS)
  2. English Language, Music and Sports (LMS)
  3. Kiswahili, Music and Sports (KMS)
  4. Fasihi ya Kiswahili, Music and Sports (FaMS)
  5. Literature in English, Music and Sports (LiMS)
  6. French, Music and Sports (FMS)
  7. Arabic, Music and Sports (ArMS)

F: TAHASUSI ZA SANAA

  1. Kiswahili, English Language and Theatre Arts (KLT)
  2. Kiswahili, French and Theatre Arts (KFT)
  3. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Theatre Arts (FaLT)
  4. Kiswahili, Literature in English and Theatre Arts (KLiT)
  5. Kiswahili, English Language and Music (KLM)
  6. Kiswahili, French and Music (KFM)
  7. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Music (FaLM)
  8. Kiswahili, Literature in English and Music (KLiM)
  9. Kiswahili, English Language and Fine Art (KLFi)
  10. Kiswahili, French and Fine Art (KFFi)
  11. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Fine Art (FaLFi)
  12. Kiswahili, Literature in English and Fine Art (KLiFi)
  13. Kiswahili, Textile and Garment Construction and Fine Art (KTeFi)
  14. English Language, Textile and Garment Construction and Fine Art (LTeFi)
  15. Arabic, Textile and Garment Construction and Fine Art (ArTeFi)
  16. Chinese, Textile and Garment Construction and Fine Art (ChiTeFi)

G: TAHASUSI ZA ELIMU YA DINI

  1. Islamic Knowledge, History and Geography (IHG)
  2. Divinity, History and Geography (DHG)
  3. Islamic Knowledge, History and Arabic (IHAr)
  4. Divinity, History and English Language (DHL)
  5. Islamic Knowledge, History and English Language (IHL)
  6. Divinity, History and Kiswahili (DHK)
  7. Islamic Knowledge, History and Kiswahili (IHK)
  8. Divinity, Kiswahili and English Language (DKL)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Orodha ya Mitihani ya NECTA Tanzania
  2. Jinsi ya Kuangalia Mkopo HESLB 2024/2025
  3. Alama za Ufaulu Shule za Msingi (Darasa la Saba) Tanzania
  4. Umuhimu wa Kufaulu Mtihani wa Taifa wa NECTA Kidato Cha Nne
  5. Ratiba ya Mtihani wa NECTA Kidato cha Nne 2024