Wajue Stellenbosch Watakaocheza na Simba Nusu Fainali

Wajue Stellenbosch Watakaocheza na Simba Nusu Fainali: Stellenbosch ilianzishwa mwaka 2016 nchini Afrika Kusini. Msimu wa 2018/19, walitwaa taji la Ligi Kuu na kupandishwa rasmi Ligi Kuu, ambapo kwa sasa wanashiriki.

Wajue Stellenbosch Watakaocheza na Simba Nusu Fainali

Katika ligi hiyo, wapo nafasi ya tano wakiwa na pointi 35 na kushinda tatu (3).

Muhtasari wa msimu wao wa 2024/25

⚽️Devon Titus_____magoli 6 (Ligi), 2 (CAF)
⚽️Ashley Cupido___magoli 5 (Ligi), 0 (CAF)

MICHEZO 5 ILIYOPITA

Wamepoteza mechi moja tu.

[1-0] Machi 29 dhidi ya Magesi FC, ambao ni wa 11 kwenye ligi.

Wameshinda mechi 2 na sare 2.

Vs Zamalek [1-0] ushindi [CAF CC]
Droo dhidi ya Zamalek [0-0] [CAF CC]
Vs Sekhukhune [2-1] kushinda [Ligi]
Vs Orlando [0-0] sare [Ligi]

NUSU FAINALI ZA CAF CC

Simba dhidi ya Stellenbosch

Kabla ya kuvaana na Simba, walipangwa kucheza na Amazulu Aprili 19, lakini kwa sababu mechi dhidi ya Simba ni Aprili 20, mechi hii italazimika kusogezwa mbele ili kutoa muda wa kusafiri na kujiandaa, hivyo watapita siku 10 bila mechi.

Wajue Stellenbosch Watakaocheza na Simba Nusu Fainali
Wajue Stellenbosch Watakaocheza na Simba Nusu Fainali

KUMBUKA MUHIMU

Ushindi wao mkubwa ni

5-0 dhidi ya Amazulu – Ligi Kuu ya Afrika Kusini
5-0 dhidi ya Nsingizini – Ligi Kuu ya Afrika Kusini

Kipigo kikubwa kwenye mashindano ya CAF

5-0 dhidi ya Berkane CAF CC Ugenini, licha ya kucheza nyumbani, pia walifungwa 3-1 na Berkane huyo.

Hatua ya Kikundi

Katika mechi 6, walishinda 3 na kupoteza 3, na kupata alama 9, ambazo zilifuzu wao na Berkane kwa robo fainali ya Kundi B.

CHECK ALSO: