Matokeo ya Simba Leo vs Mbeya City 13/04/2025: Simba vs Mbeya City, Kwenye Robo Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/25. Michuano ya Kombe la FA msimu wa 2024/2025 inaendelea kushika kasi, huku hatua ya robo fainali ikiwa na mechi ngumu, ukiwemo pambano kati ya Simba SC na Mbeya City.
Simba SC imetinga hatua ya robo fainali, Simba SC ilifikia hatua hii baada ya kuiondoa timu ya Ligi Daraja la Kwanza, Bigman FC kwa ushindi wa mabao 2-1 katika hatua ya 16 bora. Ushindi huo uliwapa fursa ya kusonga mbele, na kudhihirisha kuwa wako tayari kuwania ubingwa wa Kombe la FA msimu huu/Matokeo ya Simba Leo vs Mbeya City 13/04/2025.
Mbeya City na ushindi dhidi ya Azam FC Kwa Mbeya City, njia yao ya kutinga robo fainali haikuwa rahisi. Walikutana na Azam FC katika hatua ya 16 bora, ambapo walitoka sare ya 1-1 baada ya dakika 90. Hatimaye waliibuka washindi kwa mikwaju ya penalti, na kutinga robo fainali dhidi ya Simba SC.
Nini cha kutarajia kutoka kwa mechi hii? Ubora wa Simba SC: Simba ni moja ya timu bora zaidi Tanzania, yenye uzoefu mkubwa katika michuano mikubwa. Kikosi chao kimeonyesha uwezo mkubwa katika michuano ya Kombe la FA na ligi, hivyo wanatarajiwa kuja kwenye mechi hii wakiwa na hamasa kubwa.
Matokeo ya Simba Leo vs Mbeya City 13/04/2025
FT |Â SIMBAÂ Â 3:1Â Â MBEYA CITY
- Mpira umekwisha Simba akiondoka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Mbeya City
- Dakika 5 zinaongezwa kukamilisha dakika 90′ Simba 3-1 Mbeya City
- 43′ Mutale anaweka chuma ya 3, assist kutoka kwa Mavambo
- 29′ Ateba anaitanguliza Simba, Assist ya Ngoma
- 24′ Ngoma anaisawazishia Simba pasi ya mwisho kutoka kwa Chasambi
- 22′ Mudath Saidi Goal kwa Mbeya City
- 20′ Bado milango migumu kwa pande zote mbili
- Mpira utaaza saa 10:00 jioni

CHECK ALSO:
Weka maoni yako