Ratiba ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza ratiba rasmi ya mechi za nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/25. Timu nne zimefuzu kwa hatua hii muhimu ya shindano hilo na zitashiriki katika raundi mbili kuanzia Aprili 19 hadi 25, 2025.
Timu zitakazoshinda kwa jumla ya mechi zote mbili zitafuzu kwa fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika ya CAF 2024/25. Mashabiki wanahimizwa kufuatilia mechi hizi kwa karibu, kwani zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kati ya wachezaji wenye majina makubwa katika soka la Afrika.
Ratiba ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
NUSU FAINALI – 1
Mamelodi Sundowns πΏπ¦ vs Al Ahly πͺπ¬
Mechi ya Kwanza:
π
Aprili 19, 2025
π Pretoria, Afrika Kusini
π Saa 10:00 jioni (16:00)
Mechi ya Marudiano:
π
Aprili 25, 2025
π Cairo, Misri
π Saa 2:00 usiku (20:00)

NUSU FAINALI – 2
Orlando Pirates πΏπ¦ vs Pyramids FC πͺπ¬
Mechi ya Kwanza:
π
Aprili 19, 2025
π Uwanja wa FNB, Afrika Kusini
π Saa 1:00 usiku (19:00)
Mechi ya Marudiano:
π
Aprili 25, 2025
π Cairo, Misri
π Saa 4:00 usiku (22:00)
CHECK ALSO:
Weka maoni yako