Kikosi cha Yanga Leo vs Stand United 15/04/2025

Kikosi cha Yanga Leo vs Stand United 15/04/2025, Yanga SC itamenyana na Stand United Jumanne hii katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB.

Michuano ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB inatarajiwa kuhitimishwa rasmi Jumanne hii kwa mchezo mkali kati ya Yanga SC na Stand United FC.

Mechi hiyo itaanza saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex. Mashabiki wanasubiri kwa hamu kuona iwapo Wananchi itaendeleza ubabe wake au Stand United itawashangaza wengi kwa kuwanyima Yanga ubingwa na kutinga hatua ya nusu fainali.

Mchezo huu wa mwisho wa robo fainali utakuwa na mvuto wa kipekee, ukizingatia historia ya Yanga SC katika michuano hii na kiu ya Stand United kuweka historia ya kutinga nusu fainali. Kwa mashabiki ambao hawatakuwepo uwanjani, kuna fursa ya kutazama mechi hii moja kwa moja kupitia AzamSports1HD.

Kikosi cha Yanga Leo vs Stand United 15/04/2025

Kikosi cha Yanga kinachoaza leo dhidi ya Stand United

  • DIARRA
  • KIBWANA
  • KIBABAGE
  • BACCA
  • MWAMNYETO
  • ABUYA
  • CHAMA
  • MAXI
  • IKANGALOMBO
  • DUBE
  • AZIZ KI
Kikosi cha Yanga Leo vs Stand United 15/04/2025
Kikosi cha Yanga Leo vs Stand United 15/04/2025

CHECK ALSO: