Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi 8-1 vs Stand United

Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi 8-1 vs Stand United | Yanga SC yaingia nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB kwa kuchapwa mabao 8-1 na Stand United.

WANANCHI, Young Africans Sports Club (Yanga SC) imeendelea kudhihirisha ubabe wake katika soka la Tanzania baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 8-1 dhidi ya Stand United katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup).

Mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, umeipa Yanga SC fursa ya kutinga hatua ya nusu fainali, ambapo itaungana na JKT Tanzania iliyotangulia mapema katika hatua ya mtoano.

Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi 8-1 vs Stand United

Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi 8-1 vs Stand United
Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi 8-1 vs Stand United

Magoli ya Mchezo:

  • âš½ 16’ Stephane Aziz Ki
  • âš½ 20’ Kibabage
  • âš½ 32’ Clatous Chama
  • âš½ 39’ Clatous Chama
  • âš½ 49’ Msenda (Stand United)
  • âš½ 51’ Stephane Aziz Ki
  • âš½ 60’ Stephane Aziz Ki
  • âš½ 63’ Stephane Aziz Ki
  • âš½ 87’ Moses Phiri Musonda

CHECK ALSO: