Ratiba ya CAF Mechi za AFCON U-20 Egypt 2025 | CAF yatangaza ratiba rasmi ya Fainali za Mataifa ya Afrika za U-20 2025 nchini Misri.
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limetoa ratiba kamili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana U-20 (AFCON) 2025 nchini Misri. Michuano hiyo itaanza rasmi Aprili 27 na kuhitimishwa Mei 18, 2025.
Ratiba inajumuisha timu zilizogawanywa katika vikundi vitatu: Kundi A, B, na C, na kila kundi likiwa na timu nne. Jumla ya mechi 30 zimepangwa kuchezwa, ikijumuisha mechi za makundi, robo fainali, nusu fainali, mchujo wa kuwania nafasi ya tatu na fainali.
Ratiba ya CAF Mechi za AFCON U-20 Egypt 2025

Makundi AFCON U-20
Kundi A
- South Africa
- Zambia
- Tanzania
- Sierra Leone
- Egypt
Kundi B
- Nigeria
- Tunisia
- Morocco
- Kenya
Kundi C
- Senegal
- Ghana
- Central African Republic (CAR)
- DR Congo
Mechi za Makundi
- Kuanza: Aprili 27, 2025
- Kumalizika: Mei 9, 2025
- Mechi zitachezwa saa 18:00 na 21:00 kwa saa za eneo husika (local time).
Robo Fainali
- Tarehe: Mei 12, 2025
- Mechi 4 zitaamua timu zitakazofuzu kwenda nusu fainali.
Nusu Fainali
- Tarehe: Mei 15, 2025
- Timu 4 bora zitachuana kuwania tiketi ya fainali.
Mechi ya Mshindi wa Tatu
Tarehe: Mei 18, 2025 saa 18:00
Fainali
Tarehe: Mei 18, 2025 saa 21:00
Timu zitakazoshika nafasi ya kwanza na ya pili katika kila kundi, pamoja na timu mbili zilizoshika nafasi ya tatu bora kutoka makundi yote, zitafuzu hatua ya mtoano. Hii ni pamoja na robo fainali, nusu fainali na hatimaye fainali/Ratiba ya CAF Mechi za AFCON U-20 Egypt 2025.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako