Kikosi Cha Yanga vs Namungo FC Leo 13/05/2025

Kikosi Cha Yanga vs Namungo FC Leo 13/05/2025, Kikosi kinachoaza leo cha Yanga dhidi ya Namungo mchezo wa NBC Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara.

Leo kikosi cha wananchi kitakuwa uwanja wa KMC katika mchezo wao wa raundi ya 27 dhidi ya Namungo mapema jioni ya leo. Mchezo huu umekusanya hisia za mashabiki kutokana na umuimu wake kwenye msimamo wa ligi mpaka sasa.

Yanga inahitaji matokeo mazuri ili kujiweka kwenye nafasi zuri ya kutetea ubingwa wake, huku ikijua imemzidi alam moja pekee mshindani wake mkubwa Simba. Hivyo ushindi kwenye mchezo huu utaipa nafuu sana klabu ya Yanga kwenye kusaka ubingwa msimu huu.

Namungo wanahitaji matokeo pia kwenye mchezo huu wakikumbuka awana matokeo mazuri pindi wanapocheza na Yanga kwa mismu ya hivi karibuni, pia wanahitaji alama zote tatu ili kujiweka salama na kugokushuka daraja.

Kikosi Cha Yanga vs Namungo FC Leo 13/05/2025
Kikosi Cha Yanga vs Namungo FC Leo 13/05/2025

Kikosi Cha Yanga vs Namungo FC Leo 13/05/2025

Kikosi cha Yanga kinachoaza leo dhidi ya Namungo Hiki hapa:-

  • Diarra
  • Kibabage
  • Kibwana
  • Job
  • Bacca
  • Abuya
  • Maxi
  • Mudathir
  • Azizi Ki
  • Dube
  • Mzize

Kikosi cha Namungo

30. Nahimana
36. Kibailo
50. Mkola
4. Amoah
2. Mukombozi
12. Khalifa
17. Kabunda
26. Jofrey
29. Fabrice
8. Najim
23. Karabaka

CHECK ALSO: