KIKOSI cha Simba Leo vs RS Berkane CAF 17/05/2025

KIKOSI cha Simba Leo vs RS Berkane CAF 17/05/2025: RS Berkane vs Simba SC Mei 17, Fainali ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho CAF, Saa 4:00 Usiku.

Klabu ya RS Berkane ya Morocco inatarajiwa kuvaana na Simba SC ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumamosi Mei 17, 2025.

Mechi hii ni sehemu ya awamu ya muondoano ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika na itachezwa kuanzia saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki katika Uwanja wa Stade Municipal de Berkane.

Mechi yenye ushindani mkubwa inatarajiwa, huku RS Berkane, mabingwa wa zamani wa shindano hili, wakitafuta kutumia faida ya nyumbani ili kupata matokeo ya nguvu kabla ya mkondo wa pili.

Kwa upande mwingine, Simba SC inatinga fainali hii ikiwa na rekodi kubwa ya ushindani barani Afrika na ndoto ya kuwa klabu ya kwanza Tanzania kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika.

KIKOSI cha Simba Leo vs RS Berkane CAF 17/05/2025

Kikosi cha Mnyama kinachotegemewa kuaza leo kwenye mchezo dhidi ya RS Berkane wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

KIKOSI cha Simba Leo vs RS Berkane CAF 17/05/2025
KIKOSI cha Simba Leo vs RS Berkane CAF 17/05/2025
  • CAMARRA
  • KAPOMBE
  • HUSSEIN ©
  • CHA MOUA
  • HAMZA
  • NGOMA
  • KAGOMA
  • MPANZU
  • KIBU
  • AHOUA
  • MUKWALA

CHECK ALSO: