RS Berkane vs Simba Leo Saa Ngapi?, Fainali ya Kombe la Shirikisho

RS Berkane vs Simba Leo Saa Ngapi?, Fainali ya Kombe la Shirikisho: RS Berkane vs Simba SC Mei 17, Fainali ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho CAF, Saa 4:00 Usiku.

Klabu ya RS Berkane ya Morocco inatarajiwa kuvaana na Simba SC ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumamosi Mei 17, 2025.

Mechi hii ni sehemu ya awamu ya muondoano ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika na itachezwa kuanzia saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki katika Uwanja wa Stade Municipal de Berkane.

Mechi yenye ushindani mkubwa inatarajiwa, huku RS Berkane, mabingwa wa zamani wa shindano hili, wakitafuta kutumia faida ya nyumbani ili kupata matokeo ya nguvu kabla ya mkondo wa pili.

Kwa upande mwingine, Simba SC inatinga fainali hii ikiwa na rekodi kubwa ya ushindani barani Afrika na ndoto ya kuwa klabu ya kwanza Tanzania kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika.

RS Berkane vs Simba Leo Saa Ngapi?, Fainali ya Kombe la Shirikisho

RS Berkane vs Simba Leo Saa Ngapi?, Fainali ya Kombe la Shirikisho

  • RS Berkane vs Simba SC

  • Tukio: Fainali ya Kwanza – Kombe la Shirikisho la CAF 2024/2025

  • Tarehe: Jumamosi, 17 Mei 2025

  • Muda: Saa 4:00 Usiku (EAT)

  • Uwanja: Stade Municipal de Berkane, Morocco

  • Mubashara: Azam Sports 1 HD

CHECK ALSO: