MATOKEO ya Simba Leo vs RS Berkane 25/05/2025

MATOKEO ya Simba Leo vs RS Berkane 25/05/2025, Simba vs RS Berkane Leo Saa Ngapi?, Fainali Kombe La Shirikisho CAF: Simba SC vs RS Berkane Mei 25, 2025 | Saa 16:00 | Fainali ya Pili Kombe la Shirikisho CAF.

Simba Sports Club ya Tanzania inatarajiwa kuvaana na RS Berkane ya Morocco Jumapili, Mei 25, 2025, katika mchezo muhimu wa mtoano wa Kombe la Shirikisho la CAF.

Mechi hii inafuatia Simba SC kufungwa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Morocco. Hii inaufanya mchezo wa mkondo wa pili kuwa muhimu sana kwa Simba, kwani wanahitaji ushindi wa zaidi ya mabao mawili ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa kombe hili.

RS Berkane ni mojawapo ya timu zenye uzoefu mkubwa katika mashindano ya CAF, ikiwa imeshinda taji hili mara kadhaa. Ushindi wao wa awali wa mabao 2-0 unawapa faida ya kisaikolojia, lakini wanatarajiwa kupata upinzani mkali kutoka kwa Wekundu hao wa Msimbazi.

MATOKEO ya Simba Leo vs RS Berkane 25/05/2025

MATOKEO ya Simba Leo vs RS Berkane 25/05/2025
MATOKEO ya Simba Leo vs RS Berkane 25/05/2025

FT  |  SIMBA    1-1     RSB BERKANE

  • 90+3′ Sidibe Goal
  • 17′ Joshua Mutale Goal, Mpanzu Assist
  • Mchezo kuaza saa 10:00 jioni

CHECK ALSO: