TETESI Za Usajili Simba Wavutiwa na Omary Marungu Kutoka Mtibwa Sugar

TETESI Za Usajili Simba Wavutiwa na Omary Marungu Kutoka Mtibwa Sugar | Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids akifurahishwa na umahiri wake.

TETESI Za Usajili Simba Wavutiwa na Omary Marungu Kutoka Mtibwa Sugar

MSHAMBULIAJI wa Mtibwa Sugar, Omary Marungu, ameendelea na kasi yake na klabu ya Simba SC kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Moja kati ya mastaa wanaochipukia katika soka la Tanzania, Marungu anaonekana kuendelea kuwavutia wakufunzi wa Simba SC kutokana na rekodi yake kubwa ya mazoezi.

Kwa mujibu wa habari za ndani ya klabu hiyo, kocha wa Simba SC, Fadlu Davids ameridhishwa na uwezo wa mchezaji huyo na ameamua kumfuatilia kwa karibu. Uamuzi huu unafanana na ule wa mchezaji mwingine chipukizi, Morice Abraham, ambaye pia yuko chini ya uangalizi maalum wa timu ya makocha.

TETESI Za Usajili Simba Wavutiwa na Omary Marungu Kutoka Mtibwa Sugar
TETESI Za Usajili Simba Wavutiwa na Omary Marungu Kutoka Mtibwa Sugar

Kufanya mazoezi na Simba SC ni fursa ya kipekee kwa Marungu kuonesha umahiri wake chini ya kocha mwenye ufundi mkubwa. Endapo ataendelea kufanya vyema katika kiwango cha juu, anaweza kuwaongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya Wekundu hao wa Msimbazi msimu ujao.

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Dar es Salaam Basketball League 2025
  2. Mechi ya Hisani Kati ya Timu Aisha Masaka vs Timu Frida Amani Leo
  3. Habari za Yanga Leo, Viongozi wa Yanga Waitwa TPLB Kuhusu Dabi ya Kariakoo
  4. Kikosi cha Taifa Stars vs Madagascar Leo COSAFA 07/06/2025