Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25 | Katika msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, makocha kadhaa wameonyesha kiwango cha juu cha ukocha na uongozi kwa timu zao na hivyo kutambuliwa na Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi. Tuzo hizi hutolewa kila mwezi kwa makocha waliopata matokeo bora na kutoa mchango mkubwa kwa timu zao.
Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25
Ifuatayo ni orodha rasmi ya washindi wa kila mwezi wa msimu huu:
Tuzo za Makocha Bora wa Mwezi – NBC PL 2024/25
Agosti 2024: Fadlu Davids πΏπ¦
Septemba 2024: Mohamed Muya πΉπΏ
Oktoba 2024: Rachid Taoussi π²π¦
Novemba 2024: Rachid Taoussi π²π¦
Desemba 2024: Sead RamoviΔ π©πͺ
Februari 2025: Miloud Hamdi π©πΏ
Machi 2025: Fadlu Davids πΏπ¦
Aprili 2025: Miloud Hamdi π©πΏ
Mei 2025: Fadlu Davids πΏπ¦
Juni 2025: β (Bado kutangazwa)
Kocha Fadlu Davids kutoka Afrika Kusini ameibuka na tuzo hiyo mara tatu, jambo linalodhihirisha uimara wake katika msimu huu. Miloud Hamdi wa Algeria na Rachid Taoussi wa Morocco kila mmoja ametwaa tuzo hiyo mara mbili.

Mohamed Muya ndiye kocha pekee Mtanzania aliyeshinda tuzo hiyo kwa mwezi wa Septemba.
Tuzo ya Juni 2025 bado haijatangazwa, ikitarajiwa kutolewa baada ya kuhitimishwa rasmi kwa msimu mnamo Juni 25, 2025.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako