FIFA Club World Cup 2025, Al Ahly Wafungashiwa Virago | Michuano ya Kombe la Dunia ya Vilabu ya FIFA ya 2025 iliendelea kwa ushindani mkali asubuhi ya Juni 25, 2025, wakati wababe wa Afrika, Al Ahly SC ya Misri walipotolewa katika hatua ya makundi licha ya matokeo mazuri na sare ya 4-4 dhidi ya FC Porto ya Ureno.
Katika mechi hiyo ya kusisimua, mshambuliaji nyota wa Al Ahly, Abou Ali alifunga hat trick, lakini haikutosha kuwaokoa na kuondolewa.
FIFA Club World Cup 2025, Al Ahly Wafungashiwa Virago
πΉ FC Porto π΅πΉ 4-4 πͺπ¬ Al Ahly
β½ 15β Abou Ali
β½ 23β Mora
β½ 45+2β Abou Ali (pen)
β½ 50β Gomes
β½ 51β Abou Ali
β½ 53β Samu
β½ 64β Romdhane
β½ 89β PepΓͺ
πΉ Inter Miami πΊπΈ 2-2 π§π· Palmeiras
β½ 16β Allende (Inter Miami)
β½ 65β Luis SuΓ‘rez (Inter Miami)
β½ 80β Paulinho (Palmeiras)
β½ 87β Maurici (Palmeiras)
Inter Miami, inayonolewa na Lionel Messi, ilitinga hatua ya 16 bora baada ya kutoka sare ya kuridhisha dhidi ya Palmeiras ya Brazil. Huu ni mwendelezo mkali kwa klabu ya Marekani katika kampeni yake ya kimataifa.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako