KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo 25/06/2025: Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC) 2024/2025 unakamilika rasmi leo Jumatano Juni 25, 2025 kwa mtanange mkali kati ya wapinzani wa jadi Yanga SC na Simba SC. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 Jioni.
Mechi hii sio tu inaashiria mwisho wa msimu lakini pia itaamua ni nani atakayetawazwa bingwa wa ligi hiyo. Mashabiki wa soka nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla wanaiona kama fainali isiyo rasmi ya Ligi Kuu.
Mechi hii inahitimisha msimu mzima wa shindano hilo, ikiambatana na mvutano wa kihistoria kati ya vilabu hivi viwili vya muda mrefu. Pamoja na kupigania pointi, kuna hali ya heshima, utu, na hisia kali ya ushindani wa muda mrefu.
Kwa mashabiki, mechi hii huchukua zaidi ya dakika 90: ni tukio linalowasilisha historia na utamaduni wa soka la Tanzania na matumaini ya maelfu ya watu.
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo 25/06/2025

KIKOSI CHA YANGA
🇲🇱 Diarra
🇹🇿 Mwenda
🇨🇩 Boka
🇹🇿 Bacca
🇹🇿 Job
🇺🇬 Aucho
🇰🇪 Abuya
🇹🇿 Mudathir
🇨🇩 Maxi
🇨🇮 Pacome
🇿🇼 Dube
KIKOSI CHA SIMBA
🇬🇳 Camara
🇹🇿 Kapombe
🇹🇿 Zimbwe
🇨🇲 Che Malone
🇨🇮 Karaboue
🇹🇿 Kagoma
🇨🇩 Ngoma
🇿🇲 Mutale
🇨🇮 Ahoua
🇨🇩 Mpanzu
🇺🇬 Mukwala
Pambano la leo kati ya Yanga SC na Simba SC linahitimisha msimu wa ligi kuu ya NBC. Pia itaamua hatma ya kombe la ubingwa: litakaa Jangwani au liende Msimbazi?
Mashabiki wote wanasubiri ushindi huo kwa hamu. Mechi hii itaingia kwenye historia ya soka la Tanzania.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako