Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi?

Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi? | Yanga SC kumenyana na Singida Black Stars katika Fainali ya Kombe la FA 2025

Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi?

Young Africans Sports Club (Yanga SC) itashuka dimbani Jumamosi Juni 29, 2025, saa 5:15 Usiku UTC (sawa na 8:15 Mchana kwa saa za Afrika Mashariki) kumenyana na Singida Black Stars SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, maarufu Kombe la FA Tanzania/Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi?.

Yanga SC ambao ni mabingwa watetezi wa taji hili, wanaingia katika mchezo huu wakiwa na lengo la kuweka historia ya kutwaa taji hilo kwa mara ya nne mfululizo, jambo ambalo halijawahi kufikiwa na klabu nyingine yoyote katika historia ya michuano hiyo.

Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi?
Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi?

Mechi hii si mchezo wa kawaida kwa Yanga. Mbali na kutaka kutetea kombe hilo, pia wanaona ni fursa ya kuweka rekodi mpya na kuwa klabu iliyowahi kutwaa taji la FA mara nyingi. Hii ni sehemu ya azma yao ya kudhihirisha ubora wa timu yao msimu huu na kuendeleza ubabe katika soka la Tanzania.

Kwa upande mwingine, Singida Black Stars wanatarajiwa kuwasili wakiwa na hamasa kubwa katika kusaka ubingwa wao wa kwanza wa kitaifa. Fainali yenye ushindani na mvutano mkubwa inatarajiwa kati ya timu mbili zenye malengo tofauti, lakini zenye uchu wa mafanikio.

MATOKEO YA LIVE MCHEZO WA FAINALI YA CRDB

FT’ | YANGA      2-0      SINGIDA BLACK STARS
49′ Mzize GOOAAALLLL!!
39′ Abuya GOOOOAAAALLLLLLL!

VIKOSI VYA TIMU ZOTE MBILI

Kikosi cha Singida Black Stars dhidi Yanga SC fainali ya Kombe la CRDB.
1. Amos Obasogie
2. Andre Cirille
3. Gadiel Michael
4. Frank Asink
5. Kennedy Juma
6. Damaro Mohamedi
7. Emmanuel Keyekeh
8. Arthur Bada
9. Sowah
10. Chukwu
11. Marouf Tchakei

Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Singida Black Stars kwenye Fainali ya Kombe la CRDB.
1. Djigui Diarra
2. Israel Mwenda
3. Chadrack Boka
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Khalid Aucho
7. Maxi Nzengeli
8. Mudathir Yahaya
9. Clement Mzize
10. Pacome Zouzoua
11. Duke Abuya

CHECK ALSO:

  1. Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC
  2. RATIBA ya CHAN 2024/2025 CAF African Nations Championship
  3. Usajili Yanga Wachezaji Wanaoondoka, Wanaowaniwa na Wanaoongeza Mikataba
  4. Kikosi cha Taifa Stars Kwenye Mashindano ya CHAN 2024/2025