Kikosi Cha Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025

Kikosi Cha Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025: Yanga SC kumenyana na Singida Black Stars katika Fainali ya Kombe la FA 2025.

Young Africans Sports Club (Yanga SC) itashuka dimbani Jumamosi Juni 29, 2025, saa 5:15 Usiku UTC (sawa na 8:15 Mchana kwa saa za Afrika Mashariki) kumenyana na Singida Black Stars SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, maarufu Kombe la FA Tanzania.

Yanga SC ambao ni mabingwa watetezi wa taji hili, wanaingia katika mchezo huu wakiwa na lengo la kuweka historia ya kutwaa taji hilo kwa mara ya nne mfululizo, jambo ambalo halijawahi kufikiwa na klabu nyingine yoyote katika historia ya michuano hiyo.

Kikosi Cha Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025

Kikosi cha Yanga Leo

Kikosi Cha Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025
Kikosi Cha Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025
  • Diarra
  • Mwenda
  • Boka
  • Job
  • Bacca
  • Duke Abuya
  • Aucho
  • Maxi
  • Pacome
  • Mzize
  • Mudathir

Mechi hii si mchezo wa kawaida kwa Yanga. Mbali na kutaka kutetea kombe hilo, pia wanaona ni fursa ya kuweka rekodi mpya na kuwa klabu iliyowahi kutwaa taji la FA mara nyingi. Hii ni sehemu ya azma yao ya kudhihirisha ubora wa timu yao msimu huu na kuendeleza ubabe katika soka la Tanzania.

Kwa upande mwingine, Singida Black Stars wanatarajiwa kuwasili wakiwa na hamasa kubwa katika kusaka ubingwa wao wa kwanza wa kitaifa. Fainali yenye ushindani na mvutano mkubwa inatarajiwa kati ya timu mbili zenye malengo tofauti, lakini zenye uchu wa mafanikio.

CHECK ALSO:

  1. MATOKEO ya Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025
  2. Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Saa Ngapi?
  3. Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC
  4. RATIBA ya CHAN 2024/2025 CAF African Nations Championship