PSG Yatinga Robo Fainali FIFA Club World Cup 2025, 4-0 vs Inter Miami

PSG Yatinga Robo Fainali FIFA Club World Cup 2025, 4-0 vs Inter Miami | Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imefuzu kwa robo fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 baada ya ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Inter Miami ya Marekani.

PSG Yatinga Robo Fainali FIFA Club World Cup 2025, 4-0 vs Inter Miami

Mechi hiyo ya hatua ya 16 bora ilichezwa kwenye Uwanja wa Mercedes-Benz mjini Atlanta, Georgia, Marekani.

PSG Yatinga Robo Fainali FIFA Club World Cup 2025, 4-0 vs Inter Miami

PSG ilianza kwa kasi na kufunga mabao matatu ndani ya kipindi cha kwanza:

  • âš½ 06’ Neves
  • âš½ 39’ Neves
  • âš½ 44’ Avilés
  • âš½ 45+3’ Hakimi

Kwa ushindi huo PSG sasa inamsubiri mshindi wa mechi kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Botafogo ya Brazil, zitakazomenyana leo katika mechi nyingine ya hatua ya 16 bora.

Timu yoyote itakayokutana na PSG katika robo fainali itahitaji kujiandaa vya kutosha, kwani kikosi cha kocha huyo wa PSG kinaonekana kuwa na muunganiko thabiti wa mashambulizi na ulinzi.

CHECK ALSO:

  1. Yanga Yaibuka Bingwa CRDB Cup 2025, Yafikisha Makombe Matano Msimu Huu
  2. Taifa Stars Kufungua Dhidi ya Burkina Faso Agosti 2 kwa Mkapa CHAN 2024/25
  3. Azam Yathibitisha Kuachana na Gibril Sillah
  4. Usiku wa Vitasa Julai, Ibrahim Classic vs Nassib Ramadhani Rekodi Zao