Wachezaji Wanaotajwa Kuondoka Simba 2025: Simba SC Kuwapa ‘Thank You’ Zaidi ya Wachezaji Watano Kabla ya Msimu wa 2025/26.
Simba Sports Club iko tayari kuachana na wachezaji zaidi ya watano katika dirisha hili la usajili, kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26. Uamuzi huu ni sehemu ya mchakato wa kuboresha kikosi chake kwa ajili ya mashindano hayo makubwa yaliyopangwa kufanyika msimu ujao.
Pia imeripotiwa kuwa nyota kadhaa wapo kwenye mazungumzo na klabu nyingine ambazo zimeonyesha nia ya kuwasajili kwa ajili ya msimu ujao. Simba SC watakuwa tayari kuwafukuza kwa heshima wachezaji hao na kutambua michango yao wakati wa kukaa klabuni hapo.
Wachezaji Wanaotajwa Kuondoka Simba 2025
Wachezaji wa Simba SC watakao achwa msimu wa 2025/26 ni wale ambao hawakuwa na nafasi kubwa kuanza kikosi cha kwanza katika mechi za ushindani.

- Edwin Balua
- Ladack Chasambi
- Fabrice Ngoma
- Aishi Manula ⇒ Azam FC
- Lionel Ateba
- Valentin Nouma
- Augustine Okejepha
- Deborah Fernandez Mavambo
- Kelvin Kijili ⇒ Singida Black Stars
- Hussein Kazi ⇒ Namungo FC
Hatua hizi ni sehemu ya mabadiliko:
Simba SC inatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake ikiwa ni sehemu ya kujipanga upya kufuatia msimu uliopita, jambo ambalo haliridhishi kabisa kwa klabu hiyo yenye historia ndefu ya mafanikio ndani na nje ya Tanzania.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako