Majina ya Waliochaguliwa JWTZ 2025 | Orodha ya Majina Walioitwa JWTZ 2025: Mafunzo ya Kijeshi kwa wazalendo wa Taifa.
Jeshi la Wanchi la Tanzania (JWTZ) limetoa rasmi orodha ya majina 2025 wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya kijeshi, hatua inayolenga kuwajengea maadili, uzalendo, na stadi za maisha.
Majina ya Waliochaguliwa JWTZ 2025
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na JWTZ, vijana waliopangiwa kujiunga na kambi mbalimbali za JWTZ zilizopo katika maeneo tofauti ya Tanzania. Kambi hizo ni pamoja na:
-
Bulombora
-
Rwamkoma
-
Msange
-
Kanembwa
-
Makutopora
-
Mpwapwa
-
Ruvu
-
Nachingwea
-
Oljoro
-
Kibiti
-
Maramba

Watu waliopo kwenye orodha hiyo wanatakiwa kuripoti katika kambi walizopangiwa kuanzia tarehe itakayopangwa rasmi na mamlaka husika ya JWTZ. Ni muhimu kwa vijana wote kufuatilia tangazo la tarehe rasmi kupitia tovuti ya JWTZ (www.jwtz.go.tz), vyombo vya habari, au matangazo yatakayotolewa na shule walizomaliza.
CHECK ALSO:
Majina yanatoka lini?