Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026

Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026, Klabu ya soka ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imekamilisha usajili wake kwa msimu wa 2025/2026 kwa kuwaleta wachezaji wapya wenye uwezo mkubwa kwa ajili ya kuwakilisha klabu hiyo kwenye mashindano mbalimbali.

Usajili huu umefanyika kwa umakini na lengo kuu ni kuhakikisha klabu inakuwa na kikosi chenye ushindani ndani ya Tanzania na kwenye michuano ya kimataifa, hususan Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League).

Msimu huu mpya, Yanga SC itashiriki mashindano yafuatayo:

  • Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League)

  • Kombe la Shirikisho la Azam (FA Cup)

  • Kombe la Mapinduzi Zanzibar

  • Kombe la Muungano

  • Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)

Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026

Wachezaji Wapya Waliosajiliwa Yanga SC 2025/2026

Katika kuhakikisha timu inabaki na ubora wa juu, Yanga SC imefanya usajili wa kimkakati kwa kuzingatia nafasi muhimu uwanjani. Wachezaji walioletwa ni mchanganyiko wa vipaji vya ndani na vya kimataifa, wote wakiwa na rekodi nzuri katika klabu zao za awali.

Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026
Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026

Baadhi ya Wachezaji Waliosajiliwa:

  1. Moussa Balla Conté (Guinea) – Kutoka CS Sfaxien

  2. Offen Chikola – Kutoka Tabora United

  3. Mudathir Yahya – Ameongeza Mkataba Mpya

CHECK ALSO:

  1. Usajili Mpya wa Simba SC 2025/2026
  2. Simba Kwenye Mazungumzoni na Singida Black Stars Kumsajili Sowah
  3. CV ya Alassane Kanté Mchezaji Mpya wa Simba 2025/2026
  4. Simba Kunasa Kiungo Msenegali Alassane Kanté
  5. Kenya Yajiondoa CECAFA ya Arusha, Yarejea Kujiandaa na CHAN 2024