Taifa Stars Yatoka Nyuma na Kuichapa Senegal 2-1, CECAFA Mataifa Matatu 2025

Taifa Stars Yatoka Nyuma na Kuichapa Senegal 2-1, CECAFA Mataifa Matatu 2025: Taifa Stars imeshinda 2-1 dhidi ya Senegal katika michuano ya mataifa matatu ya CECAFA.

TIMU ya Taifa ya Tanzania, maarufu Taifa Stars, imeendelea na kasi yake ya kufana kwa kupata ushindi wa pili mfululizo katika michuano ya Mataifa Tatu ya CECAFA, baada ya kuifunga Senegal mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Black Rhinos mjini Karatu, Tanzania.

Mechi ya pili ya Tanzania, Stars ilitoka nyuma baada ya kuruhusu bao la mapema na kuonyesha ujasiri mkubwa kwa kufunga mabao mawili ndani ya dakika tatu tu za kipindi cha pili.

Taifa Stars Yatoka Nyuma na Kuichapa Senegal 2-1, CECAFA Mataifa Matatu 2025

Taifa Stars Yatoka Nyuma na Kuichapa Senegal 2-1, CECAFA Mataifa Matatu 2025

FT: Tanzania 🇹🇿 2-1 🇸🇳 Senegal

  • ⚽ 08’ Mbodji (Senegal)

  • ⚽ 53’ Stephane Aziz Ki “Sopu” (Tanzania – Penalti)

  • ⚽ 56’ Charles M’Mombwa “Bacca” (Tanzania)

Ushindi huu unafuatia ule wa awali dhidi ya Uganda Cranes kwa goli 1-0, na kuifanya Tanzania kuongoza mashindano hayo kwa alama sita. Mashindano haya ni sehemu muhimu ya maandalizi kuelekea CHAN 2024 inayotarajiwa kuanza Agosti 2, 2025.

CHECK ALSO:

  1. Jezi Mpya za Simba SC 2025/2026
  2. Simba SC Wamuweka Mezani Privat Djéssan Bi wa Zoman FC
  3. Fei Toto Kujiunga na Simba kwa Mkataba wa Miaka Miwili
  4. Yanga Kusafiri Rwanda Agosti 13 Mwaliko wa Rayon Sports Day