CV ya Neo Maema Mchezaji Mpya wa Simba SC 2025/2026: Neo Maema Ajiunga na Simba SC kwa Mkopo Kutoka Mamelodi Sundowns | Simba Kulipa 75% ya Mshahara.
Simba SC imekamilisha rasmi usajili wa kiungo mshambuliaji Neo Maema, kwa mkopo wa msimu mzima kutoka kwa wababe wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns. Pande zote mbili zimefikia makubaliano, na mkataba umekamilika na kusainiwa.
Kinyume na taarifa za awali zilizoonyesha kuwa Simba SC isingekuwa na mzigo mkubwa wa kifedha, taarifa sahihi zinaeleza kuwa Simba italipa asilimia 75 ya mshahara wa Neo Maema katika kipindi cha mkopo.
CV ya Neo Maema Mchezaji Mpya wa Simba SC 2025/2026

Personal information | |||
---|---|---|---|
Date of birth | 1 December 1995 | ||
Place of birth | Bloemfontein, South Africa | ||
Position(s) | Attacking midfielder | ||
Team information | |||
Current team
|
Simba SC | ||
Number | 12 | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps | (Gls) |
2018–2021 | Bloemfontein Celtic | 60 | (3) |
2021–2025 | Mamelodi Sundowns | 64 | (9) |
Usajili huu ni sehemu ya juhudi za Simba SC kuimarisha safu yake ya kiungo na kuongeza ubunifu uwanjani kuelekea michuano ya ndani na nje ya nchi ikiwemo Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezaji mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi, kasi, na pasi za mwisho, Neo Maema anatarajiwa kutoa uchezaji mzuri kwa timu ya kocha Fadlu Davids msimu ujao.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako