Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026: Klabu ya Simba SC ambayo ni moja kati ya vilabu vinavyoongoza kwa soka Tanzania na Afrika Mashariki imeendelea kuimarisha orodha yake kuelekea msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano ya kimataifa 2025/2026 na hivyo kuthibitisha kusajili wachezaji 11 wa kigeni hadi sasa.
Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026
Aidha, mchezaji mmoja yuko katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kujiunga na klabu hiyo.

-
Mousa Camara ๐ฌ๐ณ โ Guinea
-
Rushine De Reuck ๐ฟ๐ฆ โ Afrika Kusini
-
Alassane Kantรฉ ๐ธ๐ณ โ Senegal
-
Tariq Bajaber ๐ฐ๐ช โ Kenya
-
Sowah ๐ฌ๐ญ โ Ghana
-
Neo Maema ๐ฟ๐ฆ โ Afrika Kusini
-
Mutale ๐ฟ๐ฒ โ Zambia
-
Ahoua ๐จ๐ฎ โ Ivory Coast
-
Steven Mukwala ๐บ๐ฌ โ Uganda
-
Mpanzu ๐จ๐ฉ โ Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-
Chamou ๐จ๐ฎ โ Ivory Coast
Uwepo wa idadi kubwa ya wachezaji wa kimataifa unadhihirisha dhamira ya Simba SC ya kuwa na kikosi chenye ushindani wa hali ya juu, ndani na nje ya mashindano ya kimataifa mfano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC inaendelea kudhihirisha wepesi na maamuzi ya kimkakati katika soko la usajili, kuhakikisha inakuwa na kikosi imara kinachokidhi matarajio ya mashabiki wa ndani na nje ya Tanzania. Wakati wowote, jina la mchezaji mpya linaweza kutangazwa rasmi, hivyo kuhitimisha hatua muhimu ya maandalizi ya msimu mpya.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako