MATOKEO ya Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025

MATOKEO ya Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025: Taifa Stars dhidi ya Madagascar Leo Saa Ngapi? | Tanzania inatarajiwa kuvaana na Madagascar Agosti 9, 2025 katika mchezo wa hatua ya makundi kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, Kundi B.

Mechi hii ni moja ya mechi muhimu kwa Taifa Stars, ambayo kwa sasa inashika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa makundi, huku Madagascar ikishika nafasi ya tatu.

MATOKEO ya Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025

FT: Tanzania 🇹🇿 2-1🇲🇬 Madagascar
⚽ 13’ Mzize
⚽ 20’ Mzize
⚽ 33’ Gregasse

MATOKEO ya Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025
MATOKEO ya Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025

Mashabiki wanaweza kutazama mechi moja kwa moja kupitia Azam Sports 1 HD, na matangazo ya moja kwa moja kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho.

Kwa Tanzania, ushindi katika mechi hii ungewapa nafasi nzuri ya kufuzu kwa raundi inayofuata, wakiendelea na mwanzo wao mzuri wa michuano hiyo. Kwa Madagascar, mechi hii inawakilisha fursa ya kurejea kwenye kupigania nafasi za juu kwenye kundi.

CHECK ALSO:

  1. Droo ya CAF Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/26 Leo Saa Ngapi?
  2. Taifa Stars dhidi ya Madagascar Leo Saa Ngapi?
  3. Kapombe Mchezaji Wenye Umri Mkubwa Zaidi Taifa Stars Kwenye CHAN 2024/25
  4. Shirikisho la Soka Afrika CAF Limetoa Orodha ya Vilabu Bora 2025