Ni Taifa Stars Vs Morocco Kwenye Robo Fainali CHAN 2024/25: Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 imefika hatua ya robo fainali, zikiwa zimesalia mechi mbili muhimu. Timu hizo za Afrika Mashariki zimeonyesha kiwango cha juu na sasa zinakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya wapinzani wao.
Matokeo hayo yamebainisha mpangilio wa robofainali: Kenya wanaongoza Kundi A baada ya ushindi wao dhidi ya Zambia, na Morocco wanasonga hadi nafasi ya pili baada ya ushindi mnono dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ni Taifa Stars Vs Morocco Kwenye Robo Fainali CHAN 2024/25
Kwa upande mwingine, Taifa Stars ya Tanzania iliweka historia ya kuongoza Kundi B, hivyo kuwapa fursa ya kumenyana na Morocco.

Robo Fainali CHAN 2024
-
🇹🇿 Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco 🇲🇦
-
🇰🇪 Kenya (Harambee Stars) vs Madagascar 🇲🇬
Michuano ya robo fainali ya CHAN 2024 inatarajiwa kuwa na ushindani mkali hasa kwa timu za Afrika Mashariki ambazo zimeonyesha maendeleo makubwa. Mashabiki wa Tanzania na Kenya wanatarajia kuona timu zao zikisonga mbele na kutinga nusu fainali.
SOMA PIA:
Weka maoni yako