Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026, Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inatarajia kuanza Septemba 17, 2025.

Mechi za ufunguzi zitakuwa ni KMC FC itacheza dhidi ya Dodoma JIJI FC pale KMC COMPLEX na Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons, Mkwakwani Tanga/Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026.

Manguli wa soka la Bongo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu msimu mpya 2025/26 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Desemba 13, 2025 Yanga akiwa wenyeji, huku mchezo wa pili ukipangwa kuchezwa Aprili 4, 2026 Simba akiwa wenyeji.

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026

# Club P W D L GF GA GD Pts
1 Mbeya City 5 2 1 2 5 4 1 7
2 Simba 2 2 0 0 6 0 6 6
3 Singida BS 2 2 0 0 2 0 2 6
4 JKT Tanzania 4 1 3 0 5 4 1 6
5 Tanzania Prisons 4 2 0 2 3 3 0 6
6 Mtibwa Sugar 4 1 2 1 2 1 1 5
7 Dodoma Jiji 5 1 2 2 4 4 0 5
8 Mashujaa 5 1 2 2 3 4 -1 5
9 Pamba Jiji 4 1 2 1 3 5 -2 5
10 Namungo 4 1 2 1 3 5 -2 5
11 Coastal Union 5 1 2 2 3 5 -2 5
12 Young Africans 2 1 1 0 3 0 3 4
13 Azam 2 1 1 0 3 1 2 4
14 Fountain Gate 5 1 1 3 2 7 -5 4
15 TRA United 3 0 3 0 2 2 0 3
16 KMC 4 1 0 3 1 5 -4 3
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026