Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Vs Congo Brazzaville na Niger

Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Vs Congo Brazzaville na Niger: Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman leo ametangaza majina ya wachezaji ambao wanatarajiwa kuingia kambini Jumanne kwa ajili ya michezo hiyo miwili ya Niger na Congo Brazzavile.

Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Vs Congo Brazzaville na Niger

Kikosi hicho kina wachezaji :-

Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Vs Congo Brazzaville na Niger

  1. YAKUB SULEIMAN
  2. HUSSEIN MASARANGA
  3. ANTONY REMMY
  4. SHOMARI KAPOMBE
  5. LUSAJO MWAIKENDA
  6. WILSON NANGU
  7. MOHAMED HUSSEIN
  8. PASCAL MSINDO
  9. IBRAHIM ABDULLA
  10. DICKSON JOB
  11. YUSUPH KAGOMA
  12. NOVATUS DISMAS
  13. YAHYA ZAID
  14. EDMUND JOHN
  15. CHARLES M’MOMBWA
  16. MUDATHIR YAHYA
  17. CLEMENT MZIZE
  18. MBWANA SAMATTA
  19. ABDUL HAMIS
  20. FEISAL SALUM
  21. SAIMON MSUVA
  22. IDDY SELEMANI
  23. SELEMANI MWALIMU

SOMA PIA:

  1. Chama Ajiunga na Singida Black Stars kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja
  2. Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026
  3. Simba Kuzindua Jezi Mpya 2025/26 Leo Saa 1:00 Usiku
  4. Msimamo wa Ligi KUU Tanzania 2025/2026