KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026

KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026: Simba Sports Club ni timu ya soka iliyo na makao makuu katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa kwanza Eagles na baadaye tena iliitwa Dar Sunderland. Mwaka 1971 ikaibadilisha jina lake kabisa na kuitwa, Simba Sport Club.

Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wanaitwa Younɡ Africans.

Ni mabingwa wa taifa mara 18 tena ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame. Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.

KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026

KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026
KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026
# Player Nat.
26 Moussa Camara Guinea
22 Yakoub Suleiman Ali Tanzania
28 Hussein Abel Tanzania
23 Rushine De Reuck South Africa
14 Abdulrazack Hamza Tanzania
31 Wilson Nangu Tanzania
2 Chamou Karaboue Cote d’Ivoire
15 David Kameta Tanzania
12 Shomari Kapombe Tanzania
21 Yusuph Kagoma Tanzania
8 Alassane Kanté Senegal
30 Naby Camara Guinea
19 Mzamiru Yassin Tanzania
37 Hussein Semfuko Tanzania
35 Neo Maema South Africa
18 Morice Abraham Tanzania
10 Jean Charles Ahoua Cote d’Ivoire
33 Awesu Ally Awesu Zanzibar
38 Denis Kibu Tanzania
17 Mohammed Bajaber Kenya
7 Joshua Mutale Zambia
36 Ladaki Chasambi Tanzania
34 Elie Mpanzu DR Congo
11 Steven Mukwala Uganda
40 Selemani Mwalimu Tanzania
3 Jonathan Sowah Ghana
5 Antony Mligo Tanzania
4 Vedastus Masinde Tanzania

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar 2025/2026
  2. Kikosi cha Simba Leo Vs Gor Mahia 10/09/2025
  3. Matokeo ya Simba Leo Vs Gor Mahia 10/09/2025
  4. Simba Day 2025: Simba SC Vs Gor Mahia Leo
  5. Simba Yatangaza Bodi Mpya ya Wajumbe Upande wa Mwekezaji