Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025

Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025: Ngao ya Jamii 2025: Yanga SC vs Simba SC Septemba 16 Saa 11 Jioni Benjamin Mkapa.

Mashabiki wa soka nchini Tanzania watashuhudia mpambano wa kusisimua kati ya mahasimu wao, Yanga SC na Simba SC, katika mchezo wa Ngao ya Jamii siku ya Jumanne Septemba 16, 2025. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 11:00 Jioni.

Ngao ya Jamii ni mechi ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, ambayo kwa kawaida huwakutanisha mabingwa wa ligi hiyo na Kombe la FA TFF. Msimu huu, pambano hilo litazikutanisha vigogo wa soka Tanzania, Yanga na Simba, katika kilele cha upinzani wao wa muda mrefu.

Mechi hii sio tu ya mbio za ubingwa, lakini pia mtihani muhimu wa maandalizi ya msimu mpya wa ligi. Timu zote mbili zimetumia muda wa maandalizi ya msimu huu kuimarisha vikosi vyao kwa kusajili wachezaji wapya na kufanya mazoezi ya kimataifa, hivyo mashabiki wanatarajia kuona aina mpya ya ushindani uwanjani.

Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025

Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025
Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025

LIVE |  YANGA SC      -:-      SIMBA SC

CHECK ALSO:

  1. Viingilio Ngao ya Jamii 2025, Yanga vs Simba 16/9/2025
  2. Jayrutty Aahidi Milioni 100 Simba Kuifunga Yanga Ngao ya Jamii 2025
  3. Ratiba ya Ngao ya Jamii 2025/2026
  4. Kikosi cha Yanga Leo Vs Bandari 12/09/2025