Ratiba ya Mechi za Klabu Bingwa Ulaya UEFA Leo

Ratiba ya Mechi za Klabu Bingwa Ulaya UEFA Leo: Ligi ya Mabingwa ya UEFA inarejea kwa kishindo, na siku ya ufunguzi ina mechi za kusisimua kati ya vilabu vikubwa zaidi barani Ulaya. Mashabiki wa soka wanatarajia tamasha la hali ya juu huku timu kubwa na nyota wao wakichuana uwanjani.

Ratiba ya Mechi za Klabu Bingwa Ulaya UEFA Leo

Ratiba ya Mechi za Klabu Bingwa Ulaya UEFA Leo

Jumanne, 16 Septemba 2025

⏰ 19:45

  • PSV πŸ†š Union Saint-Gilloise

  • Athletic Club πŸ†š Arsenal

⏰ 22:00

  • Juventus πŸ†š Borussia Dortmund

  • Benfica πŸ†š Qarabag FK

  • Tottenham πŸ†š Villarreal

  • Real Madrid πŸ†š Marseille

Jumatano, 17 Septemba 2025

⏰ 19:45

  • Olympiacos πŸ†š Pafos

  • Slavia Praha πŸ†š BodΓΈ/Glimt

⏰ 22:00

  • Bayern Munich πŸ†š Chelsea

  • PSG πŸ†š Atalanta

  • Ajax πŸ†š Inter Milan

  • Liverpool πŸ†š AtlΓ©tico Madrid

Alhamisi, 18 Septemba 2025

⏰ 19:45

  • Copenhagen πŸ†š Bayer Leverkusen

  • Club Brugge πŸ†š Monaco

⏰ 22:00

  • Eintracht Frankfurt πŸ†š Galatasaray

  • Sporting CP πŸ†š Kairat

  • Newcastle πŸ†š Barcelona

  • Manchester City πŸ†š Napoli

CHECK ALSO:

  1. Ngao ya Jamii 2025, Waamuzi wa Mechi ya Yanga dhidi ya Simba
  2. Kagame Cup 2025 Wachezaji Waliopewa Tuzo
  3. Ratiba ya Vilabu vya Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa
  4. Ngao ya Jamii Tanzania, Simba na Yanga