Simba vs Fountain Gate Leo Viingilio vya Mchezo Septemba 25, 2025

Simba vs Fountain Gate Leo Viingilio vya Mchezo Septemba 25, 2025 | Simba SC kumenyana na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Simba SC itamenyana na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Septemba 25, 2025, Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Ratiba ni saa 1:00 Usiku (7:00 PM).

Simba vs Fountain Gate Leo Viingilio vya Mchezo Septemba 25, 2025

Kwa mujibu wa tangazo rasmi, viingilio kwa mashabiki vitakuwa kama ifuatavyo:

  • Mzunguko: TZS 5,000/=

  • VIP B: TZS 10,000/=

  • VIP A: TZS 20,000/=

Simba vs Fountain Gate Leo Viingilio vya Mchezo Septemba 25, 2025

Bei hizi zinaonyesha dhamira ya waandaaji kuhakikisha mashabiki wengi wanapata nafasi ya kushuhudia pambano hilo kwa gharama nafuu.

CHECK ALSO:

  1. Matokeo ya Azam FC vs Mbeya City Leo 24/09/2025
  2. Kikosi cha Yanga Vs Pamba Jiji Leo 24/09/2025
  3. Matokeo ya Yanga Vs Pamba Jiji Leo 24/09/2025
  4. Yanga SC Vs Pamba Jiji Leo Saa Ngapi?
  5. TFF Yatangaza Hafla ya Tuzo 2025 Kufanyika Desemba