MATOKEO Azam FC vs Al Merreikh Bentiu Leo 28/09/2025

MATOKEO Azam FC vs Al Merreikh Bentiu Leo 28/09/2025, Azam FC Wakaribisha Al Merreikh Bentiu katika Marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Leo, Jumapili, klabu ya Azam FC ya Tanzania itakuwa nyumbani katika dimba la Azam Complex, Chamazi, kuwakabili Al Merreikh Bentiu kutoka Sudan Kusini kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Mchezo huu umepangwa kuanza saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Azam FC 🆚 El Merriekh Bentiu
🏆 CAF Confederation Cup
®️ 1st Preliminary (2nd Leg)
🏟 Azam Complex
🕰 5.00 PM (E.A.T)

MATOKEO Azam FC vs Al Merreikh Bentiu Leo 28/09/2025
MATOKEO Azam FC vs Al Merreikh Bentiu Leo 28/09/2025

Katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliofanyika Sudan Kusini, Azam FC walipata ushindi muhimu uliowaweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele. Ushindi huo umewapa morali kubwa kuelekea mchezo wa leo, ambapo wanahitaji kuhakikisha wanaendeleza matokeo mazuri ili kufuzu hatua inayofuata ya mashindano hayo.

MATOKEO Azam FC vs Al Merreikh Bentiu Leo 28/09/2025

LIVE  |  AZAM FC          -:-          AL MERREIKH

Kwa Azam FC, mchezo huu ni fursa ya kuthibitisha ubora wao barani Afrika na kuendeleza historia yao katika michuano ya kimataifa. Ushindi utawapa tiketi ya kuingia katika raundi inayofuata na kuongeza matumaini ya kufika hatua za juu zaidi kwenye michuano ya CAF.

CHECK ALSO:

  1. Azam FC vs Al Merreikh Bentiu Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?
  2. KIKOSI Cha Simba SC Vs Gaborone Leo 28/09/2025
  3. MATOKEO Simba SC Vs Gaborone Leo 28/09/2025
  4. Simba SC Vs Gaborone Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?