MATOKEO ya KMKM vs Azam FC Leo 18/10/2025

MATOKEO ya KMKM vs Azam FC Leo 18/10/2025, Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Itapigwa Saa 10:15 Jioni Uwanja wa Amaan.

KMKM ya Zanzibar inatarajiwa kushuka dimbani leo Jumamosi Uwanja wa Amaan kumenyana na Azam FC ya Dar es Salaam katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mechi hii ni sehemu ya awamu ya awali ya michuano hiyo kuu ya Afrika, inayoshirikisha vilabu kutoka nchi kadhaa, inayotarajiwa kuanza saa 10:15 jioni. Saa za Afrika Mashariki (EAT).

Mechi hii ni muhimu kwa timu zote mbili, kwani matokeo ya leo ndiyo yatakayoamua nani atafuzu hatua inayofuata ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika CAF.

MATOKEO ya KMKM vs Azam FC Leo 18/10/2025
MATOKEO ya KMKM vs Azam FC Leo 18/10/2025

Kwa KMKM, ushindi wa nyumbani ni muhimu kabla ya mechi ya marudiano, huku Azam FC ikisaka matokeo chanya ugenini ili kurahisisha safari ya mkondo wa pili, utakaopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi Complex.

MATOKEO ya KMKM vs Azam FC Leo 18/10/2025

Umati mkubwa wa soka unatarajiwa leo kwenye Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar kushuhudia mchezo huo wa kusisimua kati ya KMKM na Azam FC. Inatarajiwa kuwa mechi yenye upinzani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na umuhimu wake katika kufuzu kwa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

CHECK ALSO:

  1. KMKM vs Azam FC Leo 18/10/2025 Saa Ngapi?
  2. Mataifa ya Africa Yaliyofuzu Hatua ya Playoffs World Cup 2026
  3. Wafungaji Bora Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Afrika
  4. Haya Hapa Mataifa 9 ya Afrika Yaliyofuzu Kombe la Dunia 2026