Ratiba ya AFCON 2025

Ratiba ya AFCON 2025, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechapisha ratiba rasmi ya hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mechi za hatua ya makundi zitachezwa kuanzia Desemba 21 hadi 31, 2025, katika miji mbalimbali nchini Morocco.

Hatua ya makundi itashirikisha timu 24 kutoka barani Afrika ambazo zimefuzu kwa michuano hiyo mikuu ya bara hilo. Kila timu itacheza mechi tatu katika kundi lake, na timu mbili za juu kutoka kila kundi zitaingia hatua ya mtoano/Ratiba ya AFCON 2025.

Ratiba ya AFCON 2025

Matchday 1 (Desemba 21–24, 2025)

  • 21 Desemba: Morocco 🆚 Comoros

  • 22 Desemba: Mali 🆚 Zambia

  • 22 Desemba: Egypt 🆚 Zimbabwe

  • 22 Desemba: South Africa 🆚 Angola

  • 23 Desemba: Nigeria 🆚 Tanzania

  • 23 Desemba: Tunisia 🆚 Uganda

  • 23 Desemba: Senegal 🆚 Botswana

  • 23 Desemba: DR Congo 🆚 Benin

  • 24 Desemba: Algeria 🆚 Sudan

  • 24 Desemba: Burkina Faso 🆚 Equatorial Guinea

  • 24 Desemba: Ivory Coast 🆚 Mozambique

  • 24 Desemba: Cameroon 🆚 Gabon

Matchday 2 (Desemba 26–28, 2025)

  • 26 Desemba: Morocco 🆚 Mali

  • 26 Desemba: Zambia 🆚 Comoros

  • 26 Desemba: Egypt 🆚 South Africa

  • 26 Desemba: Angola 🆚 Zimbabwe

  • 27 Desemba: Nigeria 🆚 Tunisia

  • 27 Desemba: Uganda 🆚 Tanzania

  • 27 Desemba: Senegal 🆚 DR Congo

  • 27 Desemba: Benin 🆚 Botswana

  • 28 Desemba: Algeria 🆚 Burkina Faso

  • 28 Desemba: Equatorial Guinea 🆚 Sudan

  • 28 Desemba: Ivory Coast 🆚 Cameroon

  • 28 Desemba: Gabon 🆚 Mozambique

Ratiba ya AFCON 2025
Ratiba ya AFCON 2025

Matchday 3 (Desemba 29–31, 2025)

  • 29 Desemba: Zambia 🆚 Morocco

  • 29 Desemba: Comoros 🆚 Mali

  • 29 Desemba: Angola 🆚 Egypt

  • 29 Desemba: Zimbabwe 🆚 South Africa

  • 30 Desemba: Uganda 🆚 Nigeria

  • 30 Desemba: Tanzania 🆚 Tunisia

  • 30 Desemba: Botswana 🆚 DR Congo

  • 30 Desemba: Benin 🆚 Senegal

  • 31 Desemba: Equatorial Guinea 🆚 Algeria

  • 31 Desemba: Sudan 🆚 Burkina Faso

  • 31 Desemba: Gabon 🆚 Ivory Coast

  • 31 Desemba: Mozambique 🆚 Cameroon

Ratiba hiyo inaashiria kuanza kwa ushindani mkubwa miongoni mwa mataifa ya Afrika yanayowania taji la bara hilo. Mashabiki wa soka kote barani wanatarajia mashindano ya ushindani, mechi za ubora wa juu na kiwango cha juu cha mchezo kabla ya awamu ya muondoano kuanza Machi 13, 2026.

Tanzania (Taifa Stars) itacheza kwa mara ya kwanza dhidi ya Nigeria Desemba 23, 2025, kisha itamenyana na Uganda Desemba 27, na itamaliza hatua ya makundi dhidi ya Tunisia Desemba 30, 2025/Ratiba ya AFCON 2025.

CHECK ALSO:

  1. Top Assist NBC Premier League 2025/2026
  2. Haya Hapa Makundi ya Kombe La Shirikisho CAF 2025/26
  3. Haya Hapa Makundi ya CAF Klabu Bingwa Afrika 2025/2026
  4. Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania 2025/2026