Matokeo JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025

Matokeo JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025, Leo Jumamosi, saa 1:00 usiku (19:00 GMT+3), macho yote yatakuwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ambapo JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC katika mchezo wa kusisimua wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.

JKT Tanzania wakiwa nyumbani wanatafuta ushindi muhimu ili kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi, huku wakitumia faida ya uwanja wao wa Meja Jenerali Isamuhyo.

Simba SC kwa upande mwingine wanahitaji pointi zote tatu ili kuendelea kusalia kwenye mbio za ubingwa dhidi ya watani wao wa jadi Young Africans (Yanga SC).

Matokeo JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025

  • 🗓️ Tarehe: Jumamosi, 8 Novemba 2025
  • 🕐 Muda: Saa 1:00 usiku
  • 🏟️ Uwanja: Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam
  • 🏆 Mashindano: Ligi Kuu NBC Tanzania Bara
Matokeo JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025
Matokeo JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025

LIVE  |  JKT TANZANIA    -:-     SIMBA SC

  • Mchezo utaaza saa 1 kamili usiku

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Azam Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  2. Ratiba ya Singida Black Stars CAF Confederation Cup 2025/26
  3. Timu Bora ya Mwaka ya FIFPRO 2025
  4. Msimamo Kundi la Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26