Kikosi cha Namungo vs Azam Leo 09/11/2025, Leo Jumapili, mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia kushuhudia mchezo wa kuvutia wa NBC Premier League, ambapo Namungo FC watakuwa wenyeji wa Azam FC kwenye uwanja wa Majaliwa, mkoani Lindi. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 1:00 usiku, na unatarajiwa kuvutia hisia kali kutoka kwa mashabiki wa timu zote mbili.
Namungo FC, ambao wamekuwa wakionyesha kiwango kizuri wanapocheza nyumbani, wanatarajia kutumia faida ya uwanja wao wa Majaliwa kusaka ushindi muhimu mbele ya mashabiki wao. Kocha wa Namungo ameahidi kikosi kilicho tayari kupambana dakika zote 90 ili kuhakikisha pointi tatu zinabaki nyumbani.

Kwa upande wa Azam FC, maarufu kama “Matajiri wa Jiji,” mchezo huu ni nafasi nyingine ya kuendeleza ubora wao katika ligi. Timu hiyo imekuwa na rekodi nzuri katika michezo ya hivi karibuni na inalenga kuendeleza kasi ya ushindi ili kuendelea kushindania nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi.
Kikosi cha Namungo vs Azam Leo 09/11/2025
KIKOSI CHA AZAM LEO
XI: Bado kikosi kamili akijatolewa, punde kitakapo tolewa ajirazaleo.com itakuhabarisha
Mashabiki wanatarajia kuona upinzani mkubwa kati ya safu ya ulinzi ya Namungo na washambuliaji hatari wa Azam FC, wakiwemo nyota waliopo kwenye kiwango bora msimu huu.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako