Hivi Hapa Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United – 07 Novemba 2024

Hivi Hapa Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United

Kama wewe ni mshabiki wa Yanga SC au Tabora United, huu ni wakati wako wa kufika uwanjani na kushuhudia burudani ya mpira wa miguu moja kwa moja. Mechi kati ya Yanga SC na Tabora United itafanyika tarehe 07 Novemba 2024 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 12:00 jioni. Ili kuhakikisha haukosi nafasi ya kushuhudia mtanange huu wa NBC Premier League, tiketi zimetangazwa kuanza kuuzwa kwenye vituo mbalimbali vilivyopo maeneo mbalimbali.

Zifuatazo ni sehemu mbalimbali ambapo mashabiki wanaweza kununua tiketi kwa urahisi. Kila kituo kimechaguliwa kwa kuzingatia urahisi wa upatikanaji wa huduma kwa mashabiki.

  • Young Africans – Jangwani
  • Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
  • T-Money Ltd – Kigamboni
  • Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
  • Khalfan Mohamed – Ilala
  • Lampard Electronics
  • Gwambina Lounge – Gwambina
  • Karoshy Pamba – Dar Live (Zakiem)
  • Antonio Service – Sinza, Kivukoni
  • Tumpe Kamwela – Kigamboni
  • Sovereign – Kinondoni Makaburini
  • View Blue Skyline – Mikocheni
  • Mkaluka Traders – Machinga Complex
  • New Tech General Traders – Ubungo
  • Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
  • Juma Burrah – Kivukoni
  • Juma Burrah – Msimbazi
  • Alphan Hinga – Ubungo
  • Mtemba Service Co – Temeke
  • Jackson Kimambo – Ubungo
  • Shirima Shop – Leaders

Hivi Hapa Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United - 07 Novemba 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Mechi ya Yanga Vs Tabora United Leo Saa Ngapi 07/11/2024
  2. Ratiba ya Mechi za Leo 07/11/2024
  3. Mechi ya Yanga Vs Tabora United Leo Saa Ngapi 07/11/2024