Tuzo za CAF 2025 CAF Awards

Tuzo za CAF 2025 CAF Awards | Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limethibitisha kuwa washindi wa tuzo za CAF Awards 2025 watatangazwa rasmi katika hafla maalumu itakayofanyika mjini Rabat, Morocco. Tukio hilo litafanyika Jumatano, Novemba 19, 2025, kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Hafla hii ni miongoni mwa matukio makubwa zaidi katika kalenda ya soka barani Afrika, ikikusanya wachezaji, makocha, timu, waamuzi, na viongozi wa vyama vya soka kutoka mataifa mbalimbali.

Tuzo za CAF 2025 CAF Awards

The shortlists for the Men’s Categories Below.

Goal of the Year

Clement Mzize – Yanga SC

Player of the Year

 Achraf Hakimi (Morocco / Paris Saint-Germain)

Tuzo za CAF 2025 CAF Awards
Tuzo za CAF 2025 CAF Awards

Goalkeeper of the Year

Yassine Bonou (Morocco / Al Hilal)

Interclub Player of the Year

Fiston Mayele (DR Congo / Pyramids)

Coach of the Year

Bubista (Cape Verde)

Young Player of the Year

Othmane Maamma (Morocco / Watford)

National Team of the Year

Morocco U-20

Club of the Year

Pyramids

2025 CAF Women’s Goalkeeper of the Year! 🇳🇬🧤

Nigeria’s Chiamaka Nnadozie

CAF Women’s National Team of the Year! 🇳🇬✨

Nigeria Women’s Team

CHECK ALSO:

  1. Ureno Yafuzu Kombe la Dunia 2026 Kwa Kishindo
  2. Azam Vs AS Maniema Union 23/11/2025 Hatua ya Makundi
  3. Azam Yaichapa JKT Tanzania 4–1 Chamazi, Manula Aokoka Kwa Kuokoa Penalti
  4. Yanga SC vs FAR Rabat CAF 22/11/2025 Saa Ngapi?