Hatua za Mchujo Play-offs Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Droo ya Makundi | Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza mgawanyo wa timu kwa ajili ya hatua ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia.
Timu 16 zimepangwa katika vikundi vinne kulingana na viwango vyao na matokeo ya awali. Mgawanyo huu utaamua upangaji wa mechi za mchujo ambazo zitatoa timu za mwisho kutoka Ulaya kuelekea Kombe la Dunia.
Hatua za Mchujo Play-offs Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Droo ya Makundi
UEFA play-offs for the World Cup:
— Pot 1:
• Italy
• Denmark
• Turkey
• Ukraine
— Pot 2:
• Poland
• Wales
• Czech Republic
• Slovakia

— Pot 3:
• Ireland
• Albania
• Bosnia
• Kosovo
— Pot 4:
• Sweden
• Romania
• North Macedonia
• Northern Ireland
Mgawanyo huu unaonyesha mchanganyiko wa timu zenye uzoefu mkubwa na zile zinazopigania kurudi katika hadhi ya juu. Hatua ya droo ya mchujo itakuwa na mvuto mkubwa kutokana na uwepo wa vigogo kama Italy, Denmark na Poland, pamoja na timu ambazo mara nyingi hutengeneza “surprise” kama North Macedonia na Albania.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako