Ratiba ya Simba SC Mwezi Disemba 2025 | NBC Premier League 2025/26. Klabu ya Simba SC imetoa ratiba rasmi ya michezo yake ya Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi Desemba 2025, ikiwa ni sehemu ya mbio za kuwania ubingwa wa msimu wa 2025/26. Ratiba hii inaonyesha mechi mbili muhimu ambazo zitachezwa ndani ya siku chache, na mashabiki wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kuisapoti timu yao.
Ratiba ya Simba SC Mwezi Disemba 2025
1. Simba SC vs Mwanza City – 4 Desemba 2025
-
Muda: Saa 1:00 Usiku (19:00)
-
Uwanja: Meja Jenerali Isamuhyo
-
Mashindano: NBC Premier League
2. Simba SC vs Ndanda FC – 7 Desemba 2025
-
Muda: Saa 11:00 Jioni (17:00)
-
Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium
-
Mashindano: NBC Premier League

Ratiba hii inaonyesha kuwa Simba SC ina majukumu mazito ndani ya muda mfupi, jambo linaloitaka timu kuonyesha uimara wa kikosi na nidhamu ya michezo ya mfululizo. Mashabiki wanashauriwa kufuatilia kwa ukaribu taarifa mpya kuhusu maandalizi ya timu, hasa baada ya mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyotangazwa mapema mwezi huu.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako