Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026

Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026 | Raundi ya kwanza ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026 inaanza rasmi ikiwa na mvuto mkubwa kutokana na idadi ya timu shiriki na ushindani unaotarajiwa kuongezeka msimu huu.

Mashindano haya, ambayo ni miongoni mwa michuano mikubwa ya soka nchini Tanzania, yanatoa nafasi kwa timu kutoka ligi mbalimbali kushindana katika mfumo wa mtoano. Ni hatua inayotoa fursa kwa klabu ndogo kuonyesha ubora wao dhidi ya timu kubwa, huku mashabiki wakitarajia matokeo ya kusisimua na matukio ya kushangaza.

Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026

Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026
Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026
18/12/2025 Home Team Vs Away Team Venue
16:00 Pan African (FL – DAR) vs Bagamoyo Sugar (FAR – PWANI) Mabatini
16:00 Mapinduzi FC (FL – MWANZA) vs Buhare FC (RCL – MARA) Nyamagana
19/12/2025 Home Team Vs Away Team Venue
16:00 Rhino Rangers (RCL – TABORA) vs Winners M#1 Ali Hassan
16:00 Moro Kids (RCL – MORO) vs Winners #2 Jamhuri
16:00 Dew Drop (RCL – RUKWA) vs Dhujaa FC (FAR – KATAVI) Mandela
16:00 Home Boys (RCL – KATAVI) vs THB (FAR – KATAVI) Azimio
16:00 Kyela SC (RCL – MBEYA) vs Kijiwe Nongwa FC (FAR – SONGWE) Sokoine
16:00 The Green FC (RCL – IRINGA) vs Msandaweanga FC (FAR – DODOMA) Samora
16:00 Tanesco Iringa (RCL – IRINGA) vs Chama La Wana (FAR – NJOMBE) Samora
16:00 Vijana SC (RCL – MORO) vs Young Star (FAR – MORO) Jamhuri
16:00 Cosmopolitan FC (FL – DAR) vs Tandika United (RCL – DAR) Jamhuri
16:00 Magnet FC (FAR – DAR) vs Bara FC Mabatini
20/12/2025 Home Team Vs Away Team Venue
16:00 Mighty Elephant (RCL – RUVUMA) vs Poja FC (FAR – RUVUMA) Majimaji
16:00 Mnavzi Mmoja (RCL – UNDI) vs Newala FC (FAR – MTWARA) Ilulu
16:00 Bandari Tanzania (FL – MTWARA) vs Rajam FC (FAR – MTWARA) Nang’wanda
16:00 Nkin FC (RCL – TANGA) vs Newolo Hope FC (FAR – TANGA) Mkwabi
16:00 IAA SC (FAR – ARUSHA) vs Matui SC (FAR – MANYARA) Amri Abeid
16:00 Endumetetite FC (RCL – MANYARA) vs Mingwano Warriors (FAR – MANYARA) Ushirika
16:00 Kajuna FC (RCL – GEITA) vs Geita Institute (FAR – GEITA) Tanganyika
16:00 Nyakagwe Stars (RCL – KIGOMA) vs Airport FC (FAR – KIGOMA) Lake Tanganyika
16:00 Greenland FC (RCL – KAGERA) vs Leo Team (FAR – KAGERA) Kaitaba
16:00 Green Warriors (FAR – SHINYANGA) vs Meza FC (FAR – GEITA) Mazingira
16:00 Dar City (FL – DAR) vs Nyika FC (FAR – PWANI) Mahungu
16:00 Biashara United (RCL – MWANZA) vs Barida United (FAR – SHINYANGA) Kambarage
16:00 Alliance FC (FAR – MWANZA) vs Mshikamano FC (FAR – SHINYANGA) Nyamagana
21/12/2025 Home Team Vs Away Team Venue
16:00 K’njaro Wonders (FAR – TANGA) vs ACA Eagle (FAR – MANYARA) Majengo
16:00 Nyumbu FC (FAR – SINGIDA) vs Super Black SC (FAR – DODOMA) Namfua
16:00 Simiyu Veterans (FAR – SIMIYU) vs West Singers (FAR – MWANZA) Bariadi Sec
16:00 Copco FC (FAR – RCL SHINYANGA) vs Timo Rangers (FAR – MWANZA) Mwawaza
16:00 Mabao FC (FAR – SHINYANGA) vs Toto Africans (FAR – MWANZA) U/Taifa
16:00 Magic Pressure (FAR – SINGIDA) vs Kilimo FC Singida
16:00 Kiomboero SA (RCL – MORO) vs FGA Talents (FAR – MORO) Jamhuri

CHECK ALSO:

  1. Kikosi cha Awali cha Taifa Stars AFCON 2025
  2. Haaland Avunja Rekodi ya Ligi Kuu England Baada ya Kufikisha Magoli 100
  3. Kikosi cha Azam vs Singida Black Stars Leo 3/12/2025
  4. MATOKEO ya Azam vs Singida BS Leo 03/12/2025