Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England

Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England | Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, anaendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu England kwa kuongoza mbio za kiatu cha dhahabu msimu huu. Hadi sasa, Haaland ameweza kufunga mabao 17, idadi inayomweka kileleni mwa orodha ya wafungaji bora.

Haaland anafuatwa kwa ukaribu na Thiago Igor wa Brentford, ambaye ameonesha kiwango kizuri cha ufungaji akiwa na jumla ya mabao 11. Ushindani kati ya washambuliaji hawa unaendelea kuongezeka kadri msimu unavyosonga mbele/Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England.

Wachezaji wengine wanaoendelea kupambana katika mbio hizi ni pamoja na Phil Foden wa Manchester City na Hugo Ekitike, ambao kila mmoja ameweza kufunga mabao 7. Ingawa pengo la mabao bado ni kubwa, uwepo wao unaongeza ushindani katika orodha ya wafungaji bora wa ligi.

Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England

Orodha ya Wafungaji Bora kwa Sasa:

Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England
Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England
RK Name Team P G
1 Erling Haaland Manchester City 16 17
2 Igor Thiago Brentford 16 11
3 Jean-Philippe Mateta Crystal Palace 16 7
Danny Welbeck Brighton & Hove Albion 16 7
Hugo Ekitike Liverpool 15 7
Phil Foden Manchester City 14 7
7 Richarlison Tottenham Hotspur 16 6
Bryan Mbeumo Manchester United 15 6
Antoine Semenyo AFC Bournemouth 14 6
10 Jarrod Bowen West Ham United 16 5
Morgan Rogers Aston Villa 16 5
Pedro Neto Chelsea 16 5
Bruno Guimarães Newcastle United 15 5
Harry Wilson Fulham 15 5
Dominic Calvert-Lewin Leeds United 14 5
Nick Woltemade Newcastle United 13 5
Zian Flemming Burnley 13 5
18 Iliman Ndiaye Everton 16 4
João Pedro Chelsea 16 4
Jaidon Anthony Burnley 16 4

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Mechi za Tanzania AFCON 2025, Taifa Stars Kucheza Mechi 3 Ndani ya Siku 7
  2. Kikosi cha Algeria cha AFCON 2025
  3. Kikosi cha Egypt cha AFCON 2025
  4. Kikosi cha Benin cha AFCON 2025