CV ya Steve Barker Kocha Mpya wa Simba | Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kumteua kocha raia wa Afrika Kusini, Steve Barker, kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo. Uamuzi huo unakuja baada ya uongozi wa klabu kuamua kuachana na aliyekuwa kocha mkuu, Dimitar Pantev, kufuatia tathmini ya mwenendo na malengo ya timu kwa msimu ujao.
Taarifa ya uteuzi wa Barker imeashiria mwanzo wa ukurasa mpya kwa klabu hiyo yenye makao yake Dar es Salaam, huku Simba SC ikielekeza nguvu mpya katika maandalizi ya mashindano ya ndani na ya kimataifa.
Steve Barker na Uzoefu Wake wa Soka Afrika
Steve Barker ni kocha mwenye uzoefu mkubwa katika soka la Afrika, hususan Afrika Kusini. Amewahi kuzifundisha klabu mbalimbali na kujijengea sifa ya kuwa kocha anayependa nidhamu, mbinu za kisasa, na maendeleo ya wachezaji kwa ujumla. Uongozi wa Simba SC unaamini kuwa uzoefu wake utasaidia kuimarisha kikosi na kuongeza ushindani katika mashindano mbalimbali.
CV ya Steve Barker Kocha Mpya wa Simba

| Name in Home Country / Full Name: |
Steven Robert Barker |
|---|---|
| Date of birth/Age: | 23/12/1967 (57) |
| Place of Birth: | Maseru  ![]() |
| Citizenship: | Â Â South Africa |
| Contract until | 30/06/2026 |
| Avg. term as coach: | 4.27 Years |
| Preferred formation: | 4-3-3 Attacking |
Vilabu alivyopita
Stellenbosch FC Manager 17/18 (01/07/2017) mpaka 12/12/2025
Alexandra Black Aces Manager | 16/17 (07/09/2016) mpaka 16/17 (30/06/2017)
AmaZulu FC Manager | 14/15 (23/11/2014) mpaka 15/16 (18/04/2016)
University of Pretoria FC Manager | 08/09 (01/07/2008) mpaka 14/15 (22/11/2014)
CHECK ALSO:

  South Africa







Weka maoni yako