NECTA Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026

NECTA Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 | Matokeo Darasa la Nne 2025/2026 (NECTA SFNA Results) | Tutachambua kwa kina Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 NECTA au kwa jina jingine SFNA results ambayo hutolewa na NECTA (Standard Four Results 2025/2026), Kwenye makala ya leo tutachambua kwa kina jinsi ya kuangalia matokeo ya darasa la nne 2025/26 mara nyingine kwenye PDF amabayo yanatarajiwa kutolewa hivi karibuni Tutazame Matokeo ya darasa la 4.

NECTA Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026

matokeo ya Darasa la Nne (SFNA) kwa mwaka 2025/2026, yaliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Pia, tutaelezea jinsi ya kuangalia matokeo haya, umuhimu wake, na maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu matokeo ya SFNA.

NECTA Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026
NECTA Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026

Kupitia SMS

Kwa wale wasio na intaneti, NECTA hutoa huduma ya SMS:

  1. Piga *152*00# kwenye simu yako.
  2. Chagua Elimu, kisha NECTA, na baadaye MATOKEO.
  3. Ingiza Taarifa za Mtahiniwa: Jaza namba ya mtihani ya mwanafunzi pamoja na mwaka wa mtihani.
  4. Fuata maelekezo yatakayotolewa kupata matokeo yako
  5. Kwa taarifa zaidi, tembelea tovuti rasmi ya NECTA: NECTA. https://necta.go.tz/ 2025

CHECK ALSO:

  1. Matokeo ya Darasa la Saba na Shule Walizopangiwa 2025/2026
  2. Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2025/2026
  3. Form One Selection 2025/2026 Shule Walizopangiwa Darasa La Saba